1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkataba wa uhusiano wa pwani ya Kenya na Zanzibar ni upi?

Khelef Mohammed Mohammed8 Septemba 2020

Kwenye Kinagaubaga, utasikia mahojiano kuhusu maridhiano baina ya aliyekuwa mfalme wa Zanzibar na Waingereza zaidi ya miaka 140 iliyopita kuikabidhi sehemu ya pwani ya sasa ya Kenya kwa mamlaka za Kiingereza. Mohamed Khelef anamhoji Stanmbuli Abdillahi kutoka Mombasa Kenya.

https://p.dw.com/p/3i8jA