1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mjue mtu wa kale wa Neanderthal

Yusra Buwayhid
27 Februari 2018

Mwaka 1829 yalipatikana mabaki ya mtu wa kale wa Neanderthal, katika bonde la mji wa Düsseldorf, Ujerumani. Wanasayansi wanaamini kuwa ndiye babu wa watu wa barani Ulaya. Sura ya Ujerumani imefanya ziara katika makumbusho ya mtu wa Neanderthal.

https://p.dw.com/p/2tNjU