Mji wangu: Serekunda Gambia | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 27.08.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Mji wangu: Serekunda Gambia

Serekunda ni kitovu cha utamaduni na uchumi wa Gambia. Mwanamuziki wa kufoka Ali Cham maarufu kama Killa Ace nchini Gambia anatutembeza katika mji huo wake. Je maisha ya vijana yakoje katika mji huo? Hebu tazama tupate kujua mengi.