Mji wa Luanda | Media Center | DW | 01.07.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mji wa Luanda

Kila asubuhi na mapema, Cabanga Dikulo huzungumza na watu wa Luanda kwenye redio. Mtangazaji huyu anatutembeza katika mji mkuu wa Angola Luanda uliojaa tofauti na hamasa.

Tazama vidio 05:33