1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mji wa kale wa Frankfurt

12 Desemba 2019

Si rahisi kupata mji wa kale katika miji mingi iliyoendelea duniani, ila unapoutembelea mji wa Frankfurt, Ujerumani, ambao ni makao makuu ya afisi nyingi kubwa za kibiashara barani Ulaya, kuna mji ambao utakupa taswira ya jinsi hali ilivyokuwa Ulaya katika enzi za kale. Huu ni mji wa kale wa Frankfurt.

https://p.dw.com/p/3Ugax