Mji wa Kale wa Frankfurt | Media Center | DW | 21.10.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mji wa Kale wa Frankfurt

Mji wa Frankfurt ni mji ulio katikati ya Ujerumani katika mto wa Main. Ni makao makuu ya afisi nyingi za Ulaya na pia ni makao makuu ya benki chungunzima ikiwemo Benki Kuu ya Ulaya. Lakini katikati ya mji huu ulioendelea, kuna sehemu ambayo ni Mji wa Kale, iko tofauti kabisa unaweza kufikiri uko nje ya mji wa Frankfurt.

Tazama vidio 01:31