Mjasiriamali wa viatu vya kifahari Ghana | Afrika yasonga mbele | DW | 25.08.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Afrika yasonga mbele

Mjasiriamali wa viatu vya kifahari Ghana

Kwa muda mrefu viatu vya kifahari vinavyotengenezwa kwa mikono vimechukuliwa kama kitu cha kipekee kwa wasanii wa mitindo wa Ulaya. Lakini sasa mwanamitindo kijana nchini Ghana huenda akaibadilisha dhana hiyo.

Tazama vidio 03:13