Mitaa bila magari inawezekana | Media Center | DW | 12.08.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mitaa bila magari inawezekana

Kutana na wanaharakati wa mjini Berlin wanaojiita Kiez er Fahren awaliohamasisha wakaazi kufunga mtaa kwa mwezi mmoja, ili watu wajionee ni namna gani nafasi inavyoweza kutumika ikiwa hakuna magari yaliyoegeshwa. Video na Harrison Mwilima

Tazama vidio 01:47