Mission Berlin 25 – Vurugu | Mission Berlin - Episoden | DW | 20.03.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mission Berlin - Episoden

Mission Berlin 25 – Vurugu

Muda unayoyoma na Anna anamuaga Paul kabla ya kurejea tarehe 9 Novemba mwaka 2006. Atakapowasili atakuwa amebakiwa na dakika tano pekee. Je zitatosha?

Muda unayoyoma

Mission Europe / Mission Berlin / Episode 25

Huku zikiwa zimesalia dakika chache Anna akamilishe jukumu lake, mchezaji anamshauri kutumia fursa ya zogo lililopo kuondoka pole pole. Lakini hataki kuondoka bila kumuaga Paul sawasawa. Anna anachunguza mchezo na kugundua anahitaji ufunguo uliochakaa kutekeleza jukumu lake. Anaitaji pia muziki. Je atarejea kwa wakati ufaao kutekeleza wajibu wake? Amesalia na dakika 5 pekee ili akamilishe vizuri jukumu lake.

DW inapendekeza

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Vilivyopakuliwa