Mission Berlin 24 – Saa inayopiga | Mission Berlin - Episoden | DW | 20.03.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mission Berlin - Episoden

Mission Berlin 24 – Saa inayopiga

Anna analipata kasha la chuma lililofichwa katika mwaka 1961 lakini hawezi kulifungua kwa kuwa limechakaa. Anapofanikiwa kulifungua anapata ufunguo wa zamani. Je huo ndio ufunguo wa ufumbuzi wa siri?

Je Anna atarejea kwa wakati ufaao?

Mission Europe / Mission Berlin / Episode 24

Muda unayoyoma na Anna ni lazima afungue kasha la chuma. Lakini mchezaji anamtahadharisha kutolifungua mbele ya watu. Analifungua kasha hilo na kupata ufunguo wa zamani uliochakaa. Sasa anatakiwa kurudi mwaka 2006 ili akabiliane na mwanamke mwenye mavazi mekundu. Lakini ana muda wa kutosha?

DW inapendekeza

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Vilivyopakuliwa