Mission Berlin 23 – Tutaonana baadaye | Mission Berlin - Episoden | DW | 20.03.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mission Berlin - Episoden

Mission Berlin 23 – Tutaonana baadaye

Anna anadandia skuta ili afike barabara ya Bernauer. Mhisani wake ni Emre Ogur anayemtakia ufanisi mjini Berlin. Lakini atahitaji nini zaidi kumkimbia mwanamke mwenye mavazi mekundu ili apate kasha la chuma lililofichwa?

Anna anajaribu kudandia skuta

Mission Europe / Mission Berlin / Episode 23

Mchezaji anamwambia Anna kutafuta usafiri wa kwenda barabara ya Bernauer kwa kuwa muda unamtupa mkono. Anadandia skuta inayoendeshwa na kijana mmoja, ambaye siku za usoni ni Inspekta Emre Ogur. Lakini Anna anapokutana na Heidrun Drei na Paul, mwanamke mwenye mavazi mekundu anawasili.Paul na Robert, mume wake Heidrun Drei, wanamrushia vipande vya ukuta. Wakati huo huo Anna anakimbia kwenda kuopoa kasha la chuma. Lakini je litakuwepo bado baada ya miaka yote hiyo?

DW inapendekeza

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Vilivyopakuliwa