Mission Berlin 21 – Wakati huo huo mwaka 2006 | Mission Berlin - Episoden | DW | 20.03.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mission Berlin - Episoden

Mission Berlin 21 – Wakati huo huo mwaka 2006

Anna anarejea mwaka 2006 na anagundua, mchungaji Kavalier ametekwa nyara. Kwa kuwa hana uwezo wa kujua aliko mchungaji, Anna anaelekea tisa Novemba, 1989, usiku ambao Ukuta wa Berlin ulianguka.

Mchungaji yuko wapi sasa?

Mission Europe / Mission Berlin / Episode 21

Mwaka 2006, Paul anamwambia Anna kuwa mchungaji ametoweka. Mwanamke mwenye mavazi mekundu amemteka nyara. Paul bila shaka anajua mambo mengi kumuhusu Mchungaji Kavalier na mtambo wa wakati, lakini hana muda wa kuzungumzia hayo. Anna anakubali kuelekea usiku wa tarehe 9 Novemba mwaka 1989 wakati wakazi wa Berlin walipokuwa wakisherehekea kuanguka kwa Ukuta. Anataka kuliopoa kasha kutoka katikati ya kundi la watu.

DW inapendekeza

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Vilivyopakuliwa