Mission Berlin 19 – Mahaba katika hali ya Vita Baridi | Mission Berlin - Episoden | DW | 20.03.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mission Berlin - Episoden

Mission Berlin 19 – Mahaba katika hali ya Vita Baridi

Zimesalia dakika 40 na Paul na Anna wanamkimbia mwanamke mwenye mavazi mekundu wanafika Berlin Magharibi. Lakini ni upande usioafiki. Mambo yanazidi kutatizika wakati Paul anapomwambia Anna kwamba anampenda.

Anna hana budi kufanya uamuzi sasa

Mission Europe / Mission Berlin / Episode 19

Anna anatakiwa kuwa Berlin Mashariki ili afanikiwe kutekeleza jukumu lake. Lakini amekwama upande wa magharibi. Kisha kuna tatizo jingine: Katika hali ngumu kama hiyo, Paul anamwambia Anna kuwa anampenda. Anamtaka Anna kuacha kutekeleza jukumu lake. Hata hivyo mchezaji anamwambia Anna kurudi mwaka 2006 ili aanzishe mpango mwingine. Dakika 35 zitatosha kupata suluhisho?

DW inapendekeza

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Vilivyopakuliwa