Mission Berlin 17 – Kujenga Vizuizi | Mission Berlin - Episoden | DW | 20.03.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mission Berlin - Episoden

Mission Berlin 17 – Kujenga Vizuizi

Huku zimesalia dakika 50, mchezaji anasema wakati umefika wa kumwamini keshia. Taarifa ya redio inasema wanajeshi wa Ujerumani Mashariki wanajenga uzuio wa seng'enge. Je hilo ndilo tukio la kihistoria la RATAVA?

Zimebaki dakika 45 kuinusuru Ujerumani

Mission Europe / Mission Berlin / Episode 17

Anna hajatambua kuwa keshia ni Heidrun Drei na mchezaji anamwambia amwamini keshia huyo anayetaka kumsaidia hata kama kaka yake ana shaka. Hata hivyo ndugu hao wawili wanakubaliana kumsaidia Anna kulikwepa genge la waendesha pikipiki. Wote watatu wanakwenda kuwachungulia wanajeshi wa Ujerumani Mashariki ambao wanaanza kujenga uzio wa seng'enge. Mchezaji anamwambia Anna kuwa huo ni ujenzi wa Ukuta wa Berlin. Zimebaki dakika 45 kuinusuru Ujerumani.

DW inapendekeza

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Vilivyopakuliwa