Mission Berlin 16 – Nimeuona mustakabali wako | Mission Berlin - Episoden | DW | 20.03.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mission Berlin - Episoden

Mission Berlin 16 – Nimeuona mustakabali wako

Anna anaporudi nyuma hadi mwaka 1961, waendesha pikipiki wenye silaha bado wanamwandama. Mwanamke fulani asiyemjua anamwokoa. Kwa nini akafanya hivyo? Je Anna anaweza kumwamini?

Anna akimbilia kwenye duka la kuuza vyakula

Mission Europe / Mission Berlin / Episode 16

Genge la waendesha pikipiki linamwandama Anna. Anajificha kwenye duka la kuuza vyakula na wakati huo huo msimamizi wa duka anamwambia kwamba wakati wa kufunga duka umefika. Msaidizi wake anasema kuwa Anna ni rafiki yake. Keshia huyo anamchukua Anna hadi nyumbani kwake na anamwambia kwamba walisoma pamoja. Nyumbani kwake, keshia anamjulisha Anna kwa Paul Winkler, ambaye ni kaka yake.

DW inapendekeza

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Vilivyopakuliwa