Mission Berlin 15 – Abiria wa wakati | Mission Berlin - Episoden | DW | 20.03.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mission Berlin - Episoden

Mission Berlin 15 – Abiria wa wakati

Katika Berlin iliyogawanyika, Anna anapaswa kutoka Mashariki kwenda Magharibi. Hilo silo tatizo la pekee. Ana muda wa dakika 55 kuchunguza lengo la RATAVA. Je ni ujenzi au kubomolewa ukuta?

Anna atafikaje Kantstraße?

Mission Europe / Mission Berlin / Episode 15

Mwaka 1961, Anna anajaribu kufika Kantstraße. Lakini Kantstraße iko Berlin Magharibi na yeye yuko Berlin Mashariki. Anna hawezi kwenda Magharibi kwa sababu serikali ya Ujerumani Mashariki imeanza kujenga ukuta. Baada ya kuanzishwa upya kwa mchezo, mchezaji na Anna wanagundua kuwa huenda malengo ni mawili: ujenzi au kubomolewa Ukuta wa Berlin. Wanabakiwa na dakika 55 kuchunguza kujua lengo la RATAVA.

DW inapendekeza

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Vilivyopakuliwa