Mission Berlin 14 – Kurejea siku za usoni | Mission Berlin - Episoden | DW | 20.03.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mission Berlin - Episoden

Mission Berlin 14 – Kurejea siku za usoni

Anna anagundua mtambo wa wakati na anaambiwa kuwa genge la magaidi linataka kufuta tukio la kihistoria. Lakini tukio lipi? Mchezaji anamrejesha hadi mwaka 1961. Anasalia na dakika 60. Je amwamini mchungaji?

Je Anna atasafiri akiandamana na mtambo wa wakati?

Mission Europe / Mission Berlin / Episode 14

Mchungaji anajua maana ya msemo "In der Teilung liegt die Lösung" na anaelewa hatari ya genge la RATAVA. Mchezaji anasema Anna anapaswa kurudi hadi mwaka 1961 ili kufumbua fumbo hilo. Mchezaji anaahidi atamrejesha Anna alikotoka pindi akifika mwaka huko. Mchungaji anampa msemo "Die Liebe versetzt Berge",…"Mapenzi husogeza milima"… ambao unamsaidia kurejea nyuma. Anaanzia tarehe 13 Agosti lakini akiwa na dakika sitini kutekeleza jukumu lake. Je muda huu unatosha?

DW inapendekeza

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Vilivyopakuliwa