Mission Berlin 10 – Kizungumkuti | Mission Berlin - Episoden | DW | 20.03.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mission Berlin - Episoden

Mission Berlin 10 – Kizungumkuti

Mchezaji anazijumuisha tarehe 13 Agosti, 1961, siku ya kujengwa ukuta wa Berlin na tarehe 9 Novemba, 1989 wakati ukuta ulipoanguka. Mafanikio ya Anna kwenye jukumu lake yanategemea tarehe hizo. Anna afanye nini?

Anna anamkwepa mwanamke mwenye mavazi mekundu kwenye halaiki ya watu

Mission Europe / Mission Berlin / Episode 10

Paul na Anna wanajificha katika duka kubwa la KaDeWe ambako Anna anacheza mchezo wake. Mchezaji anamwambia Anna kuwa ukuta wa Berlin ulijengwa tarehe 13 Agosti, 1961 na ukaanguka tarehe 9 Novemba, 1989. Anna atagundua kuwa ufumbuzi wa fumbo lote hilo ni kugawanywa kwa Berlin.

DW inapendekeza

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Vilivyopakuliwa