Mission Berlin 09 – Vidokezo vinavyokosekana | Mission Berlin - Episoden | DW | 20.03.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mission Berlin - Episoden

Mission Berlin 09 – Vidokezo vinavyokosekana

Anna anakimbia kutoka ukumbi wa maonyesho lakini mwanamke mwenye mavazi mekundu anamuwahi katika duka la Paul. Anna anafanikiwa tena kukimbia na kidokezo kimoja cha fumbo hilo na vipi apate kidokezo kingine?

Anna anatoroka kupitia mlango wa nyuma

Mission Europe / Mission Berlin / Episode 09

Ogur amemdokeza Anna kuhusu kundi la majambazi la RATAVA . Kwenye duka la saa, Paul Winkler anamwonyesha kwamba amekitengeneza kikasha chake cha muziki. Kinapiga wimbo uitwao "Nostagie" wa Friedrich August Dachfeg. "Ni wimbo wetu", Paul anamwambia Anna lakini Anna haelewi. Ghafla mwanamke mwenye mavazi mekundu anajitokeza na kufyatua risasi. Heidrun Drei anawasili na kupambana na mwanamke huyo ili kuwapa Paul na Anna fursa ya kukimbia. Anna amebakiwa na tarehe mbili: Agosti 13, 1961 na Novemba 9. Lakini mwaka gani?

DW inapendekeza

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Vilivyopakuliwa