Mission Berlin 07 – Maadui wasiojulikana | Mission Berlin - Episoden | DW | 20.03.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mission Berlin - Episoden

Mission Berlin 07 – Maadui wasiojulikana

Anna analikwepa genge la waendesha pikipiki na kuingia kwenye ukumbi wa maonyesho. Huko anakutana tena na Heidrun, na Ogur anamwambia kuwa RATAVA wanamwandama. Lakini wanamtakia nini?

Anna anawakimbia waendesha pikipiki waovu

Mission Europe / Mission Berlin / Episode 07

Mchezaji anamwambia Anna kurejea dukani kwa Paul Winkler kuchukua kikasha chake cha muziki. Njiani inambidi kulikwepa genge la waendesha pikipiki kwa kuingia kwenye ukumbi wa maonyesho. Huko anakutana tena na Heidrun Drei. Inspeka Ogur anawasili kumhoji Heidrun Drei kuhusu aliko Anna. Ogur anakisia kuwa Anna kajificha kwenye ukumbi huo na anamtahadharisha kwamba genge la RATAVA linamwandama. Wakati huo mwanamke aliyevalia mavazi mekundu anawasili.

DW inapendekeza

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Vilivyopakuliwa