Mission Berlin 06 – Mripuko wa Zamani | Mission Berlin - Episoden | DW | 20.03.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mission Berlin - Episoden

Mission Berlin 06 – Mripuko wa Zamani

Anna anakutana na mtu mwingine anayeonekana kama anayefahamiana naye. Mara hii ni mwanamke anayesema walikuwa marafiki mwaka 1961. Anna anazidi kutatizika kwa habari kwamba kuna mwanamke anamwandama.

Anna anakutana na mtu mwenye viroja katika maonyesho

Mission Europe / Mission Berlin / Episode 06

Watu ambao Anna hawafahamu wanajitokeza kila pembe. Mara hii ni mwanamke. Anasema yeye na Anna waliishi chumba kimoja mwaka 1961 na kwamba anataka kumsaidia Anna kutekeleza jukumu lake la hatari. Heidrun Drei anamtahadharisha Anna kujichunga na mwanamke aliyevaa mavazi mekundu ambaye anamwandama. Lakini Heidrun Drei hayo yote ameyajulia wapi?

DW inapendekeza

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Vilivyopakuliwa