Mission Berlin 05 – Tumewahi kukutana? | Mission Berlin - Episoden | DW | 20.03.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mission Berlin - Episoden

Mission Berlin 05 – Tumewahi kukutana?

Anna anakipeleka kikasha chake cha muziki kwa mtengeza-saa ili kitengenezwe. Paul Winkler anaikubali kazi hiyo na kumwambia Anna kuwa anamjua tangu kitambo. Inawezekana vipi? Anna ndio kwanza amewasili.

Je kuna mtu yeyote kwenye duka la mtengeza-saa anayeweza kumsaidia Anna?

Mission Europe / Mission Berlin / Episode 05

Kikasha cha muziki kinapofunguliwa, kinaonekana kimeharibika zaidi. Paul Winkler anapata kipande cha karatasi kilichoandikwa tarakimu hizi 19610813. Zina maana gani? Na je Paul Winkler anazungumzia nini? Anna anamuomba amtengeneze saa, naye anasema wanajuana tangu kitambo. Katika hali hii ya butwaa, Anna anajitahidi kuokoa muda na ana dakika 90. Amefuata muziki kama maandishi yalivyopendekeza lakini nini maana ya "mgawanyiko ndio suluhisho"?

DW inapendekeza

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Vilivyopakuliwa