Mission Berlin 04 – Dalili za Hatari | Mission Berlin - Episoden | DW | 20.03.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mission Berlin - Episoden

Mission Berlin 04 – Dalili za Hatari

Anna anawasili mahali aliponuia katika Kantstraß3 lakini pamefungwa. Anaambiwa mwenyewe yumo mkahawani. Inaonekana kana kwamba wanajuana. Anna anahitaji dakika 100. Je ana muda wa kutosha?

Mapumziko kwenye Café Krokant

Mission Europe / Mission Berlin / Episode 04

Anna anachanganyikwa kabisa anapokuta duka limefungwa. Leo Winkler amefariki. Mpiga kinanda anamweleza Anna kuwa mmiliki mpya wa duka ni Paul, mwanawe Leo Winkler. Anakunywa kinywaji chake cha kila siku cha kakao moto kwenye mkahawa wa karibu. Anakwenda mkahawani na kuagiza kahawa… Kaffee…na kuna bwana mwenye kidani cha fedha chenye umbo la fidla anayetabasamu. Ogur anaingia mkahawani na kumwambia Anna kwamba jukumu lake hilo ni hatari … gefährlich … kama ilivyo RATAVA. Anna anataka kudadisi na anamfuata bwana huyo mzee aliye na fidla. Lakini kadhia hii ina nini?

DW inapendekeza

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Vilivyopakuliwa