Mission Berlin 03 – Kuelekea Kantstraße | Mission Berlin - Episoden | DW | 20.03.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mission Berlin - Episoden

Mission Berlin 03 – Kuelekea Kantstraße

Anna anaelekea Kantstraße lakini anachelewa kwa kuwa inambidi kuulizia njia. Anapoteza muda zaidi wakati watu wenye pikipiki wanapofika na kumfyatulia risasi.

Pengine kuna taarifa muhimu katika Kantstraße

Mission Europe / Mission Berlin / Episode 03

Kazi ya Anna inakabiliwa na vikwazo. Anapowataka watoto waliyovaa vitau vyenye magurudumu kumwelekeza njia, wenye pikipiki wanampiga risasi. Mchezo unapoanzishwa tena, hatimaye Anna anawasili Kantstraße. Lakini je atapata anachotafuta?

DW inapendekeza

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Vilivyopakuliwa