Mission Berlin 02 – Mambo Bado | Mission Berlin - Episoden | DW | 20.03.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mission Berlin - Episoden

Mission Berlin 02 – Mambo Bado

Anna anaanza kujibu maswali ya Ogur lakini anakatizwa na sauti ya pikipiki pamoja na milio ya risasi. Anakimbilia kwenye makumbusho anakopata anwani juu ya kasha lake la muziki. Je anwani hii itamfaa?

Anna yuko salama kwenye jumba la makumbusho

Mission Europe / Mission Berlin / Episode 02

Anna anajificha kwenye jumba la makumbusho. Anajificha ndani ya choo cha wanaume kwa kuwa ana wasiwasi huenda polisi au wenye pikipiki walio na silaha wangali wanamwandama. Hapo anagundua anwani ya Leo Winkler katika barabara ya Kantstraße iliyoandikwa kwenye kasha lake la muziki. Je huyo bwana yu hai na je anaweza kumsaidia Anna?

DW inapendekeza

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Vilivyopakuliwa