Mission Berlin 01 – Kiroja | Mission Berlin - Episoden | DW | 20.03.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mission Berlin - Episoden

Mission Berlin 01 – Kiroja

Jukumu la Anna ni kuinusuru Ujerumani isifikwe na janga. Ni lazima aihifadhi siri, atengue kitendawili, na kuwachunguza wanaume wenye pikipiki. Anahitaji dakika 130. Dalili ya kwanza i wapi?

Je kachero anataka nini kutoka kwa Anna?

Mission Europe / Mission Berlin / Episode 01

Anna anaamka katika chumba namba 14 … Zimmer vierzehn, kwenye mkahawa mmoja nchini Ujerumani. Wakati huo huo Kamanda wa Polisi anaelekea chumbani kwa Anna. Kamanda Ogur anajitambulisha na anagusia mauaji ya mgeni kwenye chumba nambari 40. Zimmer vierzig. Kwenye kioo cha bafu anatambua maandishi "In der Teilung liegt die Lösung. Folge der Musik". Anna anaanza kujibu maswali ya kamanda. Lakini maandishi hayo yana maana gani?

DW inapendekeza

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Vilivyopakuliwa