1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Misri kuumana na Cameroon nusu fainali ya AFCON

Josephat Charo
31 Januari 2022

Miamba wa soka la Afrika Misri na Cameroon kukabana koo katika pambano la kukata na shoka la nusu fainali ya kombe la mataifa ya Afrika, AFCON. Bundesliga kurejea Ijumaa, Hertha kuwaalika Bochum, Bayern na Leipzig Jumamosi. Na Rafa Nadal ashinda taji la 21 la mashindano makubwa ya tenisi ya Grand Slam kwa kumpiku Daniiel medvedev katika fainali ya Australian Open.

https://p.dw.com/p/46JzF