Misaada ya kigeni kwa Afrika: Neema au Laana? | Masuala ya Jamii | DW | 14.01.2012
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Misaada ya kigeni kwa Afrika: Neema au Laana?

Je, misaada ya maendeleo kutoka ng'ambo imezisadia nchi za Kiafrika kupiga hatua mbele au imezidumaza nchi hizo? Mpaka lini Afrika itaendelea kutegemea wafadhili kuliletea maendeleo bara hilo lenye utajiri wake?

Akinamama wakilima nchini Burundi.

Akinamama wakilima nchini Burundi.

Sikiliza kipindi cha Maoni kutoka Deutsche Welle kikiongonzwa na Othman Miraji. Wachangiaji hoja ni Halima Sharif (mwandishi wa habari jijini Dar es Salaam), Salma Maulid (mwanaharakati wa haki za kiraia Zanzibar), Okiya Omtatah Okoiti (mwanaharakati wa haki za kiraia kutoka Kenya) na Richard Shaba kutoka Wakfu wa Kijerumani wa Konrad Adenauer, tawi la Tanzania.

Maoni: Othman Miraji
Mhariri: Mohammed Khelef

DW inapendekeza

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 14.01.2012
 • Mwandishi Othman Miraji
 • Maneno muhimu Maoni
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/13jla
 • Tarehe 14.01.2012
 • Mwandishi Othman Miraji
 • Maneno muhimu Maoni
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/13jla

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com