1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Muziki

Millard Ayo ni muongozo wa vijana wa Kitanzania

Sudi Mnette
19 Septemba 2018

Katika kipindi cha karibuni cha 22.09.2018, utaweza kumsikia mtangazaji na mwendesha blogu wa Tanzania Millard Ayo akiwa mgeni wa Idhaa ya Kiswahili, lakini pia pamoja na hadithi "kikisha kukutoka ndio utajua thamani yake," ipo safu ya Je, umeipata hiyo? Zaidi ungana na Sudi Mnette.

https://p.dw.com/p/35BLI