Milio ya simu ya Mission Europe | Mission Europe | DW | 05.12.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mission Europe

Milio ya simu ya Mission Europe

Pata Mission Europe kwa simu yako ya kiganjani na ufaidi milio ya simu bila malipo!

Mission Europe kwa simu yako ya kiganjani

Mission Europe kwa simu yako ya kiganjani

Jinsi inavyofanya kazi: Chagua mlio wa simu na uubonyeze kwa upande wa kulia wa kitauzi ( mouse). Ukurasa ulio na kiungo utafunguka. Bonyeza kiungo na ukihifadhi kwenye jedwali la MP3 katika kompyuta (tarakilishi) yako. Kupitia ukanda wa USB (Flash Disk) unaweza kuhamishia mlio kwenye simu yako. Kumbuka milio ya simu inatumika tu kwenye simu zinazokubali mtindo wa sauti wa MP3.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada