1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miito Uingereza ya kutaka sheria ya kifo cha hiari ilegezwe

Iddi Ssessanga10 Novemba 2021

Nchini Uingereza, wanaharakati wanapigania kulegezwa kwa sheria kuhusu msaada wa kifo cha hiari. Wanasema mabadiliko katika sheria hiyo yatawapa udhibiti mkubwa zaidi kuhusu namna na lini wanakufa. Katika makala hii ya Mwangaza wa Ulaya iliyoandaliwa kwa ushikiriano na Nimita Bhati, tunamulika harakati hizo na uwezekano wake wa kufanikiwa.

https://p.dw.com/p/42oU9