Miguu, nyayo na kucha: Usanifu wa kipekee kwa viumbe hai | Mada zote | DW | 12.08.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Miguu, nyayo na kucha: Usanifu wa kipekee kwa viumbe hai

Leonardo da Vinci anauelezea mguu wa binaadamu kama "uumbaji wa kipekee." Miguu ya wanyama kwa hakika inavutia, maumbile yake tofauti tofauti yanayowawezesha walionayo kujiokoa, kukwea, kufukuza na mengine ya ziada.