Migogoro mibaya kabisa duniani | Mada zote | DW | 26.02.2014
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Migogoro mibaya kabisa duniani

Kwa mujibu wa Heidelberg Institute for International Conflict Research (HIIK), kulikuwa na migogoro 400 duniani kote mwaka jana, 20 kati yao ikiwa vita. DW inaiangazia baadhi ya migogoro hatari zaidi kati yao.