Miezi mitatu ya mgomo wa wauguzi Kenya | Matukio ya Afrika | DW | 22.08.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Miezi mitatu ya mgomo wa wauguzi Kenya

Mgomo wa wauguzi katika hospitali zote za umma nchini Kenya ulioanza mwezi Juni bado unaendelea. Wakenya wanakumbana na shida kwa kukosa huduma za afya kutokana na mgomo huo usioelekea kuisha.

Sikiliza sauti 03:00

Mahojiano na Peter Maroko wa Chama cha Wauguzi

                  

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com