You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Iran
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Michezo
Pata habari na uchambuzi wa michezo.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Liverpool kumsajili nyota wa Bundesliga Ekitike
Liverpool wamekubali kumsaini mshambuliaji wa klabu inayoshiriki Ligi Kuu ya Ujerumani Eintracht Frankfurt, Hugo Eikitik
England yatinga nusu fainali michuano ya Ulaya ya wanawake
Ushindi huo unaendeleza mbio za England za kutetea ubingwa wa michuano ya ulaya upande wa wanawake.
Man City yaingia mkataba wa pauni bilioni 100 na Puma
City itaanza kampeni yake ya Ligi ya Premier kwa msimu wa 2025-26, Agosti 16.
Chelsea yashinda Kombe la Dunia la Vilabu
Klabu ya soka ya Uingereza, Chelsea, imeshinda Kombe la Dunia la Vilabu kwa kuichakaza Paris Saint-Germain bao 3-0 .
EURO 2025: Ujerumani kukosa huduma za Gwinn
Gwinn, hatashiriki katika michuano ya Euro 2025 baada ya kuumia goti la kushoto.
Noa Bongo: Mitandao ya kijamii ina hasara zaidi ya faida?
Msimu wa tatu wa Noa Bongo Jenga Maisha yako umewadia. Upo tayari kwa michezo hiyo maarufu ya kuigiza?
Burkardt ahamia Frankfurt kutokea Mainz
Burkardt anawekewa matumini ya kuimarisha safu ya ushambuliaji ya klabu ya Frankfurt.
Utovu wa nidhamu wamponza Neuhaus Gladbach
Inaripotiwa Neuhasu ametozwa faini ya kiasi euro 100,000 kwa uovu huo wa nidhamu.
Jamie Gittens wa Dortmund kujiunga na Chelsea
Gittens anakwenda Chelsea baada ya kuichezea Dortmund mechi 78 za Bundesliga
Nyota wa Liverpool Diogo Jota afariki katika ajali
Ajali hii imetokea siku chache tu baada Diogo Jota aliyekuwa na umri wa miaka 28 kufunga ndoa.
Sane andoka Bayern na kujiunga na Galatasaray
Winga huyo wa Kijerumani mwenye umri wa miaka 29 sasa ni mchezaji wa Galatasaray ya Uturuki kuanzia Jumanne.
Yanga SC yashinda mataji yote ya soka Tanzania
Klabu ya Yanga SC ya Tanzania imefagia mataji yote msimu huu katika ligi za Tanzania
30.06.2025 Michezo
DW Michezo: Yanga wafagia mataji yote msimu huu nchini Tanzania, Gor Mahia yamaliza msimu nchini Kenya bila taji lolote na michuano ya Kombe la Dunia la Vilabu yaendelea Marekani chini ya ukosoaji mkali.
Leicester yaachana na van Nistelrooy
Ruud van Nistelrooy alihudumu kama kocha wa muda Old Trafford baada ya Ten Hag kutimuliwa
Alonso amfagilia Jude Bellingham
Xabi Alonso amechukua mikoba ya kuiongoza Madrid kutoka kwa mtangulizi wake Carlo Ancelotti
Bundesliga kuanza kutimua vumbi Agosti 22
Ligi Kuu ya Bundesliga nchini Ujerumani kuanza kutimua vumbi Agosti 22, 2025
Mabingwa wa Rwanda APR wajipanga kwa mechi za Afrika
APR imeimarisha benchi la kiufundi kwa kumsajili kocha mpya pamoja na wachezaji kadhaa tayari kwa msimu mpya wa kandanda
Wanariadha wa Afrika Mashariki wakabiliwa na unyanyasaji
Katika miaka ya hivi karibuni kumeripotiwa vifo na mauaji ya wanariadha mashuhuri wa kike nchini Kenya.
Jobe Bellingham asajiliwa Borussia Dortmund
Sunderland wakamilisha uhamisho wa Jobe Bellingham kwenda Borussia Dortmund.
Mjadala wa Spoti na Saumu Njama na Josephat Charo
Upi mustakhbali wa kocha wa Inter Milan Simone Inzaghi (pichani) na kikosi chake baada ya kupoteza fainali ya kombe la mabingwa Ulaya dhidi ya PSG? Sakata la uhamisho wa Florian Wirtz lanoga baada ya Leverkusen kukataa ofa ya pili kutoka kwa Liverpool. Kulikoni? Na gumzo lahanikiza Kenya kuhusu pambano la watani wa jadi Mashemeji Derby.
Leverkusen yakataa ofa ya pili ya Liverpool kuhusu Wirtz
Mkataba wa Wirtz hauna kipengele kinachomruhusu aondoke
Kesi ya Diego Maradona hatarini baada ya jaji kujiondoa
Julieta Makintach alijiondoa kwenye kesi hiyo baada ya kufichuliwa kuwa amekuwa akishiriki katika filamu inayotengenezwa
Ni Inter au PSG hapo Jumamosi?
Jumatano Chelsea watapambana na Real Betis katika fainali ya Conference League itakayochezwa huko Poland kisha Jumamosi, PSG wavaane na Intermilan kwenye fainali ya Ligi ya Vilabu Bingwa Ulaya, Champions League itakayochezwa katika uwanja wa Allianz Arena mjini Munich. Je, Chelsea wataiendeleza hatua yao ya kufuzu Ligi ya Mabingwa kwa kuutwaa ubingwa wa Conference League? Usikilize mjadala.
Je, huu ndio mwanzo wa kusambaratika kwa Bayer Leverkusen?
Mabingwa mara moja wa Ujerumani Bayer Leverkusen wamempata kocha mpya baada ya Xabi Alonso kuihama klabu hiyo na kuelekea kujiunga na Real Madrid ya Uhispania. Erik Ten Hag ambaye alikuwa kocha wa zamani wa Manchester United na Ajax Amsterdam, ndiye atakayeifunza Leverkusen sasa. Je, Ten Hag ataendesha vipi meli ya Leverkusen inayoonekana kuyumba na kuondoka kwa Alonso na wachezaji muhimu?
Kwanini vilabu vya Tanzania vinafeli mashindano ya CAF?
Klabu ya Simba Sports Club huko Tanzania imeshindwa kulinyanyua taji la mashindano ya CAF ya kombe la shirikisho baada ya kutoka sare ya bao moja na RS Berkane ya Morocco hapo Jumapili katika fainali iliyochezwa huko Zanzibar na kushindwa kwa jumla ya mabao 3-1 baada ya kupoteza mechi ya mkumbo wa kwanza 2-0 walipokuwa ugenini. Sikiliza uchambuzi wa Josephat Charo, Jacob Safari na Suleman Mwiru.
Bundesliga: Elversberg yajiandaa kupanda daraja
Elversberg inajiandaa kwa Mchuano wa Kupanda Daraja dhidi ya Heidenheim.
FC Köln yarejea ligi kuu ya Bundesliga
Köln yarejea katika ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga kwa kishindo baada ya kuiadhibu Kaiserslautern.
Fainali ya CAF: Uwanja wa marudiano bado kitendawili
Simba yajiandaa kwa mechi ya marudiano Tanzania, Lakini wapi itachezwa?
Wachezaji wa Bayern warejea kutoka likizo fupi ya Ibiza
Raaeifa ya kurejea wachezaji wa Bayern imeripotiwa na televisheni ya Sky siku ya Jumanne (13.05.2025)
Winga wa kulia wa Leverkusen Frimpong kuhamia Liverpool
Frimpong anawacha pengo ambalo Leverkusen itabidi walijaze kabla dirisha kubwa la uhamisho kufungwa.
Bodi ya Bayern yaridhia uwezekano wa kumsajili Tah
Tah aliwahi kuhusishwa kuhamia klabu ya Barcelona katika La Liga.
Kocha Xabi Alonso kuondoka Leverkusen mwisho wa msimu
Leverkusen ilipoteza taji kwa Bayern Munich wikendi iliyopita zikiwa zimesalia mechi mbili msimu kukamilika.
Arteta: Arsenal timu bora zaidi Ligi ya Mabingwa
Arteta asisiza kwamba Arsenal ndio timu bora zaidi katika Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu.
Nagelsmann kutaja kikosi cha ligi ya mataifa ya Ulaya Mei 22
Taarifa hiyo imetangazwa na shirikisho la soka la Ujerumani Jumatano.
Bayern Munich washinda taji la Bundesliga 2024/25!
Bayern yarudisha ubingwa wa Bundesliga nyumbani msimu 2024/25.
APR Mabingwa wa Kombe la Amani Rwanda
Timu ya soka ya APR imetawazwa mabingwa wa kombe la Amani Rwanda (FERWAFA Peace Cup).
Simba SC yaendelea kupambana ligi kuu Tanzania
Simba SC yaendelea kupambana ligi kuu Tanzania, kwa kibarua kigumu ugenini.
Flick ammwagia sifa Lamine Yamal
Barcelona na Inter wamekutana kwenye mkondo wa kwanza wa nusu fainali za Mabingwa Ulaya.
Ancelotti wa Real Madrid kuinoa timu ya taifa ya Brazil
Vyombo vya habari vya Uhispania vimeripoti kuwa Ancelotti atachukua mikoba hiyo mwezi Juni, 2025.
Bochum yatangazwa mshindi mgogoro wa mechi na Union
Ushindi huo huenda usitoshe kuiokoa kutokana na shoka la kushuka daraja.
Mshambuliaji timu ya taifa Gabon Aaron Boupendza amefariki
-
Frankfurt yajiimarisha katika nne bora za Bundesliga
Werder Bremen wakipata ushindi wa 2-1 dakika za lala salama dhidi ya VfB Stuttgart baada ya kutoka nyuma.
Arsenal yatoa fursa kwa timu tano za England
Ligi Kuu ya England imehakikishiwa nafasi ya kuwa na timu tano kwenye toleo la Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu wa 2025-26.
Bielefeld yawaduwaza mabingwa watetezi Bayer Leverkusen
Jonathan Tah aliwatanguliza Bayer Leverkusen lakini Bielefeld wakarudisha kupitia Marius Wörl dakika tatu baadae.
Wasichana wajiandaa na sikukuu ya Eid
Zimesalia siku chache waumini wa dini ya kiislamu kukamilisha ibada muhimu ya funga, inayofuatiwa na shamrashamra za sikukuu ya Eid. Wasichana wamejipanga kusherehekea siku hiyo kwa namna gani?
Mataifa ya Afrika Mashariki yapambana kufuzu Kombe la Dunia
Timu za mataifa ya Afrika Mashariki na Kati zimeendelea na mechi zao za hatua ya makundi.
Salvini: Ninatumai kuiona Urusi michezo ya Olimpiki 2026
Naibu waziri mkuu wa Italia Matteo Salvini amesema angependa kuiona Urusi michezo ya Olimpiki 2026.
Neuer kukosa mechi mbili za Bundesliga
Neuer huenda akakosa pia mechi ya ligi ya mabingwa kati ya Bayern na Inter
Barcelona, Bayern na Inter zasonga mbele Champions
Liverpool imetupwa nje ya michuano ya Champions kupitia mikwaju ya penati.
Ligi ya mabingwa Ulaya Champions kuendelea
Liverpool watakuwa na kazi ngumu ya kulinda ushindi mwembamemba wa 1-0 dhidi ya PSG.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 6 wa 16
Ukurasa unaofuatia