1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Michezo yawaoka vijana Afrika Kusini

Yusra Buwayhid
29 Mei 2019

Katika kitongoji cha Eldorado Park nchini Afrika Kusini vijana wadogo pamoja na watoto wanapotea kwa kujiunga na makundi ya kihalifu yanayohusika na madawa ya kulevya. Lakini shirika la Growing Champions linatumia michezo tofauti kuwaokoa na kuwahamasisha kupambana na maisha bila ya madawa ya kulevya

https://p.dw.com/p/3JOAS