Miaka kumi ya kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere | Matukio ya Kisiasa | DW | 15.10.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Miaka kumi ya kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Leo ni miaka kumi tangu kufariki dunia mwanzishaji wa taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere.

Imetolewa tathmini mbali mbali kuhusu taifa la Tanzania lilivyoelekea baada ya kifo cha mwanasiasa huyo ambaye alitajikana hata nje ya mipaka yake, hasa katika siasa zake za ujamaa na kujitegemea na kutaka viongozi wajiwekee miko ukilinganisha na raia wengine. Othman Miraji alizungumza kwa simu na Dr. Mohammed Bakari, mhadhiri mwandamizi katika chuo Kikuu cha Dar es Salaam, na kumuuliza kama kweli Tanzania ilivyo sasa ni ile ambayo marehemu Nyerere alikuwa ana matumaini ya kuwa nayo....

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com