Miaka 52 ya Uhuru wa iliyokuwa Tanganyika | Matukio ya Afrika | DW | 09.12.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Miaka 52 ya Uhuru wa iliyokuwa Tanganyika

Leo imetimia miaka 52 tangu iliyokuwa Tanganyika ambayo sasa ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupata uhuru wake kutoka kwa wakoloni wa Kiingereza Desemba 9, mwaka 1961.

Rais wa kwanza wa Tanzania baada ya kupata Uhuru,Hayati Rais Julius Kambarage Nyerere

Rais wa kwanza wa Tanzania baada ya kupata Uhuru,Hayati Julius Kambarage Nyerere

Sudi Mnette amezungumza na Profesa Humphrey Moshi kutoka Idara ya Uchumi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambaye kwanza anatoa tathimini yake kuhusu tofauti kati ya wakati ule na sasa katika kipindi hiki miaka hii 52 ya uhuru. Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikion hapo chini.

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada