Miaka 50 ya Uhuru wa Kenya | Mada zote | DW | 12.12.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Miaka 50 ya Uhuru Kenya

Miaka 50 ya Uhuru wa Kenya

Tarehe 12 Disemba 1963, Kenya ilijitangazia uhuru wake. Hadi sasa, bado ukabila na mashambulizi ya kisiasa ni tatizo kubwa, lakini baada ya miaka hii 50, hapana shaka taifa hili linaweza pia kuangalia mafanikio yake.