Miaka 50 iliyopita: Mshikamano mkubwa Biafra | Mada zote | DW | 10.01.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Miaka 50 iliyopita: Mshikamano mkubwa Biafra

Vita vya Biafra mashariki mwa Nigeria vilitikisa jamii ya kimataifa miaka 50 iliyopita. Kimataifa walijaribu kusuluhisha miongoni mwao Wajerumani. Lakini wimbi hili la mshikamano limetoka wapi?