Miaka 30 tangu RPF waivamie Uganda | Media Center | DW | 01.10.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Miaka 30 tangu RPF waivamie Uganda

Imetimia miaka 30 tangu waliokuwa waasi wa RPF kuvamia Rwanda wakitokea Uganda. Waasi hao walishinda vita mikaa minne baadae na kuunda serikali iliyoko madarakani hadi leo. Lilian Mtono amezungumza na mchambuzi na wa masuala ya siasa na mwandishi wa habari aliyeko Kigali, Khalidi Halidi na kwanza alianza kuuzungumzia urithi ulioachwa baada ya tukio hilo.

Sikiliza sauti 02:58