1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka 30 kamili tangu vita vya Abkhazia

Iddi Ssessanga19 Agosti 2022

Leo Makala ya Mwangaza wa Ulaya inakumbuka wakati ambapo Georgia iliachwa pekee yake dhidi ya Urusi, na uhalifu dhidi ya ubinadamu uliotendwa na Urusi nchini Georgia. Kinachohuzunisha ni kwamba watu hawakuweza kuzungumzia juu ya jambo hili kwa muda wa miaka 30 iliyopita,

https://p.dw.com/p/4Fnj5