Miaka 10 tangu kuuawa kwa Chebeya haki bado kutendeka | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 30.06.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Miaka 10 tangu kuuawa kwa Chebeya haki bado kutendeka

Mbiu ya Mnyonge inalilia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambako miaka 10 baada ya kuuliwa kwa Floribert Chebeya mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu familia yake bado inaendelea kusaka kutokana na dhuluma alizotendewa mwanaharakati huyo. Msimulizi ni Saleh Mwanamilongo.

Sikiliza sauti 09:46