1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mhafidhina Ivan Duque rais mpya Colombia

Iddi Ssessanga
18 Juni 2018

Mhafidhina Ivan Duque ameshinda uchaguzi wa rais nchini Colombia, siku ya Jumapili, baada ya kampeni iliogeuka kura ya maoni kuhusu makubaliano ya kihistoria ya mwaka 2016 na waasi wa kundi la FARC ambayo aliahidi kuyafanyia marekebisho.

https://p.dw.com/p/2zmTC