Mgogoro wa Nzouani visiwani Komoro bado haujapatiwa ufumbuzi | Matukio ya Kisiasa | DW | 24.10.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mgogoro wa Nzouani visiwani Komoro bado haujapatiwa ufumbuzi

Visiwani Komoro, mgogoro wa kisiwa cha Nzouani bado kupatiwa ufumbuzi wa kudumu, licha ya Umoja wa Afrika kuwawekea vikwazo viongozi wa kisiwa hicho.

Kufuatia hali halisi ya kisiwa hicho kutaka kujitenga na visiwa vingine vya Komoro, Rais wa Komoro, Ahmed Abdalla Sambi, akijumuika na wanajeshi wa jeshi la Komoro yuko katika mazoezi ya kijeshi, ikiwa ni hatua mojawapo ya kutaka kukivamia kisiwa cha Nzouani wakati wowote kuanzia sasa.

Zaidi anawaletea Abdulrahman Baramia kutoka Moroni.

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com