1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mgogoro wa wakimbizi mpakani mwa Umoja wa Ulaya

Daniel Gakuba/Karin Sinz11 Machi 2020

Mgogoro mpya wa wakimbizi unaobisha hodi kwenye mpaka wa Umoja wa Ulaya umeleta hali ya wasiwasi mkubwa kwenye mpaka wa Ugiriki na Uturuki. Mzozo huu wa sasa unahusisha visa vya ghasia ambavyo vinaongozwa na makundi ya wafuasi wa sera kali za mrengo wa kulia.Fahamu mengi zaidi kupitia makala ya Mwangaza wa Ulaya sambamba naye Daniel Gakuba.

https://p.dw.com/p/3ZCmv