1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mfumo ya KIEMS waathiri vituo 154 Kakamega

Grace Kabogo
9 Agosti 2022

Huko magharibi ya Kenya, katika kaunti ya Kakamega ambayo sawa na Mombasa, uchaguzi wa wadhifa wa ugavana uliahirishwa kutokana na kile Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC, imesema ni dosari kwenye karatasi za kura. Bruce Amani amezungumza na mwandishi wa habari Allan Ochanda kufuatilia jinsi shughuli ilivyokuwa siku ya Jumanne.

https://p.dw.com/p/4FKnV