Mfumo wa SMS watumika kuwasajili watoto | Afrika yasonga mbele | DW | 08.12.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Afrika yasonga mbele

Mfumo wa SMS watumika kuwasajili watoto

Asilimia 60 pekee ya watoto duniani wanasajiliwa, bila vyeti vya kuzaliwa hawawezi kwenda shule kufuatia kukosa kuwa na cheti hicho. Sasa mtaalamu wa masuala ya Kompyuta amepata suluhu ya tatizo hilo kubwa.

Tazama vidio 03:07

Mfumo wa SMS watumika kuwasajili watoto

Elimu nzuri ya shule, labda chuo kikuu baadaye kisha upate kazi nzuri. Wazazi wanachohitaji ni maisha mazuri kwa watoto wao. Lakini hili halifanikiwi katika mataifa mengi ya kiafrika kwa sababubau ya kukosa utaratibu unaopaswa kuwepo. Watoto wengi hawasajiliwi baada ya kuzaliwa na hawapati vyeti vya kuzaliwa. Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwashughulikia watoto UNICEF linakadiria idadi ya watoto ambao hawajasajiliwa kufikia milioni 3 nchini Ivory Coast pekee. Shirika hilo linaendelea kukadiria kwamba asilimia 60 ya watoto wachanga duniani wanasajiliwa. Mtaalamu kijana wa masuala ya Kompyuta sasa amepata jibu ya tatizo hilo.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com