Mfahamu beki wa kulia wa Ujerumani Joshua Kimmich | Media Center | DW | 25.05.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mfahamu beki wa kulia wa Ujerumani Joshua Kimmich

Kila unachohitajika kujua kumhusu mchezaji wa kimataifa wa Ujerumani Joshua Kimmich kabla ya Kombe la Dunia. Je beki huyu wa kulia anaweza kujaza nafasi iliyoachwa na Phillip Lahm?

Tazama vidio 01:13