1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sheria ya vyama vya siasa, demokrasia na uhuru Tanzania

Mohammed Khelef
16 Desemba 2018

Mjadala unaogonga vichwa katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hivi sasa ni mswada wa sheria ya vyama vya siasa ambayo inakusudiwa kufanyiwa marekebisho na serikali, lakini wakosoaji wake wanasema utawala wa Rais John Magufuli unafuata utaratibu wa tawala nyengine za eneo hilo kuuwa kabisa demokrasia ya vyama vingi. Ungana na Mohammed Khelef kujadili mada hii.

https://p.dw.com/p/3ADCV